TheHItDotCom

TheHItDotCom
we bring you news to your hand

Friday, May 17, 2013

CHARITY BEGINS AT HOME- IT BEGINS AT MZUMBE

a lot of thanks to M.Erick Shigongo for the great help aliyotupa wakati wa kampeni yetu ya charity begins at home.


Kaka mkuu wa Mzumbe, Mfaume Mussa [kati] akinadi moja wa biashara zinazouzwa na mfuko huo tulioupa jina la 'Charity Begins at home] Shigongo ambaye alionyesha kuguswa na hatua yetu kuanzisha mfuko huo wenye lengo la kulipiana ada kwa wale wanafunzi wenye hali ngumu kiuchumi,alinunua leso hiyo kwa shilingi milioni moja sambamba na kutupa shilingi milioni tano taslimu,

Mbali na hayo shigongo pia akiwa ndani ya ukumbi huo aliwasiliana na mbunge wa jimbo hilo la Mvomero  ilipo shule hiyo, Amos Makalla ambaye naye baada ya kusikia taarifa hizo kupitia kwa shigongo aligushwa na kuamua kuchangia mfuko huo shilingi milion moja taslimu.

.Shigongo hakuishia hapo aliendesha harambee kwa wazazi waliokuwemo ndani ya ukumbi huo ambao waliitikia wito huo kuwa kuchangia kiasi flani cha fedha   na kwamba  hadi shughuli hiyo inakamilika jumla ya shilingi milioni 7,218,900 zilikusanywa,awali mfuko huo ulikuwa na jumla ya shiringi laki 4 tu. hakika CHARITY BEGINS AT HOME.......


No comments:

Post a Comment