TheHItDotCom

TheHItDotCom
we bring you news to your hand

Wednesday, December 17, 2014

rihanna 2014 imeisha hajatoa albam, 2015 huenda asitoe pia? Ana dili hili jipya…

50 Cent aliwahi kupotea kabisa baada ya kujikuta akitumia muda mwingi kumalizana na madili yake ya kucheza movie, huenda ilimfanya aingize pesa nyingi zaidi kuliko kufanya muziki, kwenye list ya wasanii ambao wamezamia kwenye movie watu wengine ni kama Ludacris na Tyrese.
2014 ya Rihanna bila album, huenda kwenye masuala ya fashion kunamfanya aishi poa !
Rihanna yuko busy muda wote, kwa sasa yuko Ujerumani, kukamilisha dili lake jipya kama Balozi mpya wa Kimataifa kwa kutangaza bidhaa za michezo za kampuni ya Puma.
Kifupi ni kwamba kaianza kazi, ukurasa wake wa Instagram ambao huwa anautumia kutangaza biashara anazojihusisha nazo safari hii umeanza kutawaliwa na picha zinazoonyesha akiwa amevaa viatu vya Puma, hakika kazi imeanza.
riri

No comments:

Post a Comment