TheHItDotCom

TheHItDotCom
we bring you news to your hand

Monday, December 8, 2014

Wajue waliotajwa zaidi kuwania tuzo za Grammy 2015

Wiki hii imetajwa ile list ya mastaa ambao wanawaniwa tuzo za Grammy zitakazofanyika February 2015, kitu kizuri kwenye list hii ni kwamba kuna mastaa  ambao wametajwa kuwania vipengele vingi zaidi kuliko mastaa wengine wote.
Mwandishi na mwimbaji Sam Smith, mama wa Blue Ivy na mke wa Rapper Jay Z, Beyonce na mkongwe asiyezeeka ambaye ni mtayarishaji wa muziki na mwimbaji pia Pharrell Williams wametajwa kuwa ni wasanii ambao wametajwa kuwania tuzo nyingi zaidi kwenye Tuzo za  Grammy zitakazofanyika February mwaka 2015.








sam-smith-beyonce-pharrell 

Mastaa hao wametajwa kuwania kwenye vipengele sita kila mmoja huku masikio na macho ya wengi yakiangalia nani kati yao ataweza kuivunja ile rekodi ya kubeba tuzo zote sita?

No comments:

Post a Comment