TheHItDotCom

TheHItDotCom
we bring you news to your hand

Saturday, December 20, 2014

wajue wasanii wanaotafutwa zaidi GoOglE

Tumezisikia rekodi nyingi za nje ya Afrika, sasa hivi moja ya jitihada ninazozifanya ni kukusanya zile rekodi za Afrika na kukuletea mtu wangu.
Davido ni mkoja ya mastaa ambao tukiuzungumzia muziki wa Afrika Magharibi, jina lake ni moja ya majina ambayo yameng’aa sana kwa mwaka 2014.
Mtandao wa Google umemtaja Davido kwamba ni staa namba moja kwa wanamuziki wa Nigeria aliyetafutwa zaidi mwaka 2014 kwenye mtandao.
davido
Kwenye list hiyo Phyno ameshika namba mbili na nafasi ya tatu kushikwa na the Marvin’s Queen, Tiwa Savage
Nimekuwekea List ya top ten hiyo hapa.
1. Davido
2. Phyno
3. Tiwa Savage
4. Don Jazzy
5. Timaya
6. Ice Prince
7. Olamide
8. Sean Tizzle
9. Lil’ Kesh
10. Burna Boy

No comments:

Post a Comment