.
TheHItDotCom
Thursday, April 18, 2013
WANA FOOTBALL CLUB
Kwa taarifa yako na kama ulikuwa haujui... kuna WFC (WANA football club ), hii ni club ya A level Mzumbe sec school... curently kuna league ya mbuzi hapa shuleni na hii ndo timu inayowakilisha A levels... tushapiga mtu sana na bado tunaendeleza dozi... yaani watake wasitake... MBUZI NI WETU HUYU..
.
.
IN HERE AT MZUMBE.. WE GOT DORMITORY GRADUATIONS- chek this out........
KAMA UNATAKA KUULIZA HILO NI DOM GANI- NGOJA NIKUJIBU FASTA... mirambo 5 hapoo, HII ni kumbukumbu yetu tosha sana... hii ilikuwa graduu ya form six 2013... this is how we do it... we eat sana , and drink pia... its all about the money.. and we the boss.haina haja ya kuelezea mauaji ya hapo..yanajionesha yenyeweeee..... KABAAANG...
aiseee NECTA iko kupandisha ma-grades... watu iko kuumia zaidi na zaidi... hawa ni wachache, lkn huwezi amini bado wanaonekana wazembhe kweeli..!!!
baada ya serikali kupitia baraza la mitihani kutangaza kupandisha madaraja ya ufaulu, hali imeonekana kuwa mbaya kwa baadhi ya WANA ...ambao wameonekana wakipiga msuli mmoja matata sana, hali hii inaleta vitisho kwani twaweza kuwapoteza baadhi yao km hali itaendelea hivi. vijana hao kwenye picha ndio waliofumaniwa waakikata shoka na vitabu... katika hali ya kushangaza wao bado wanaonekana wavivu,
SASA PATA PICHA HAO WENGINE WANASOMAJE.....????
Subscribe to:
Posts (Atom)