TheHItDotCom
Tuesday, April 23, 2013
MBUZI CUP FINAL.. WANA F.C WIN 3- NIL
hayawi hayawi yamekuwa.. walisema mbona haolewi ona sasa kaolewa... ni ile fainali kati ya form 6 na form 2... ( si dharau hii jameni ) iliyokipiga hapo April 21, katika uwanja wa Mzumbe Stadium.
hivo juu ndo vikosi vilivyoshiriki pambano hilo kali la kukata na shoka. LAKIIIINI kwa shangwe na nderemo natangaza habari hi... WANA ( a level ) waliweza kujiondokea na ushindi bila kikwazo chochote kile.. kwa kuitandika kipigo cha mbwa mwizi 4m 2.. kuifunga bao 3 kwa bila... inasikitisha sana.. lakini sasa mpira twaweza na kujizuia kushinda ni kama adhabu vile...
MZUMBE TOP SCORES NECTA ACSEE 2012.... HII NI KAWAIDA YETUUU
yes, dats it... huwezi kuipinga hii..... magatete tunao....??!! na kila kitu kipo mzumbe.... kwenye picha ni wanafunzi 20 bora wa mtihani wa taifa kidato cha 6-2012, WATATU kati ya hao ni wazawa wa Mzumbe... una cha kusema hapo?? hebu kubali sisi ni nooouumaaa...!!!
“Mmefanya vizuri. Mnastahili ! Hongereni Sana. Tunataka ufaulu
wenu uwe mzuri zaidi kwa vile sasa ninyi mnakweda kujenga weledi.
Mnakuwa wataalamu wa fani Fulani. Tumieni muda wenu kujifunza zaidi
kutafuta maarifa zaidi na kuvumbua mambo makubwa zaidi yatakayowasaidia
ninyi wenywe na jamii kwa ujumla kujiletea maendeleo,” alisema Waziri
Mkuu Pinda.
“Napenda niwape pongezi za pekee wanafunzi hawa kwa jihudi kubwa
walizozionesha. Kufaulu kwao kunadhihirisha kwamba shule hizi za kata
tukiweka bidii kwa kuziwezesha zaidi zitafanya vizuri zaidi kama ilivyo
katika shule nyingine,” alisisitiza .
Waziri Mkuu pia aliwataka walimu wote nchini kushirikiana na wazazi na serikali kwa pamoja kufundisha watoto kwa bidii ili waweze kufanya vizuri katika masomo yao kama wanafunzi hao waliotunukiwa vyeti hivyo.
dats whats up... mzumbe- DETERMINATION IS OUR MOTTO... NYAYO TUNAKAZA....
Waziri Mkuu pia aliwataka walimu wote nchini kushirikiana na wazazi na serikali kwa pamoja kufundisha watoto kwa bidii ili waweze kufanya vizuri katika masomo yao kama wanafunzi hao waliotunukiwa vyeti hivyo.
dats whats up... mzumbe- DETERMINATION IS OUR MOTTO... NYAYO TUNAKAZA....
BILLBOARD MUSIC AWARDS GETTING HOOOT..!!!
One Direction, Rihanna and Carly Rae Jepsen will also contend in several major categories
Taylor Swift, fun. and Maroon 5 lead the finalists for the 2013 Billboard Music Awards, which will air live on Sunday, May 19 beginning at 8/7c on ABC from the MGM Grand Garden Arena in Las Vegas.
After scoring 18 category appearances in 2011 and 13 more in 2012, "Diamonds" superstar Rihanna once again lands double-digit finalist slots by competing in 10 categories this year, including Top Artist. Meanwhile, Carly Rae Jepsen's breakout year -- marked by the song of last summer, "Call Me Maybe" -- landed the Canadian pop singer showing in nine categories this year, including Top Hot 100 Song, Top Pop Song, Top Digital Song and Top Radio Song.
And don't forget about One Direction, which released two albums in the U.S. in 2012 and racked up eight spots as a finalist at the 2013 BBMAs. 1D will compete against Swift, Maroon 5, Rihanna and Justin Bieber for the Top Artist prize, and the boy band will square off against Jepsen, Gotye, PSY and the Lumineers for Top New Artist.
Also of note in 2013: the addition of EDM categories at the Billboard Music Awards, which reflects the overwhelming demand for electronic music. David Guetta, Skrillex, Swedish House Mafia and deadmau5 will compete for the Top EDM Album prize, while finalists for Top EDM Song include Baauer's "Harlem Shake," Calvin Harris' "Feel So Close" and Swedish House Mafia's "Don't You Worry Child" (feat. John Martin), respectively.
Billboard Music Awards finalists were based on key fan interactions with music, including album and digital singles sales, radio airplay, touring, streaming and social interactions on Facebook, Twitter, YouTube, VEVO, Spotify and other popular online destinations for music. These measurements were tracked year-round by Billboard and its data partners, including Nielsen Entertainment and Next Big Sound.
Swift, Bieber, Bruno Mars and Miguel are all set to take the stage at the 2013 Billboard Music Awards, which will be hosted by Tracy Morgan and executive produced by Don Mischer. Additionally during the broadcast, Billboard will honor Prince with the coveted Billboard Icon Award, and the ingenuity of this year's hitmakers will be celebrated with the new Milestone Award, presented by Chevrolet.
Stay tuned for more announcements on performers, presenters and more for the May 19 airing of the 2013 Billboard Music Awards on ABC.
Subscribe to:
Posts (Atom)