what more could you want..??
hii ni safu ndogo tu ya walimu tulio nao hapa mzumbe... aisee ni nouma....!! wakiwa kazini hakuna masihara kabisa, usiwaone wanatabasamu... wakiingia ndani ya 18 zako lazima utoke na div. 1 Perhaps dis is what keeps us on top daily.. a lot of thanks to em, thank you teachers,
TheHItDotCom
Friday, May 17, 2013
CHARITY BEGINS AT HOME- IT BEGINS AT MZUMBE
a lot of thanks to M.Erick Shigongo for the great help aliyotupa wakati wa kampeni yetu ya charity begins at home.
Kaka mkuu wa Mzumbe, Mfaume Mussa [kati] akinadi moja wa biashara zinazouzwa na mfuko huo tulioupa jina la 'Charity Begins at home] Shigongo ambaye alionyesha kuguswa na hatua yetu kuanzisha mfuko huo wenye lengo la kulipiana ada kwa wale wanafunzi wenye hali ngumu kiuchumi,alinunua leso hiyo kwa shilingi milioni moja sambamba na kutupa shilingi milioni tano taslimu,
Mbali na hayo shigongo pia akiwa ndani ya ukumbi huo aliwasiliana na mbunge wa jimbo hilo la Mvomero ilipo shule hiyo, Amos Makalla ambaye naye baada ya kusikia taarifa hizo kupitia kwa shigongo aligushwa na kuamua kuchangia mfuko huo shilingi milion moja taslimu.
.Shigongo hakuishia hapo aliendesha harambee kwa wazazi waliokuwemo ndani ya ukumbi huo ambao waliitikia wito huo kuwa kuchangia kiasi flani cha fedha na kwamba hadi shughuli hiyo inakamilika jumla ya shilingi milioni 7,218,900 zilikusanywa,awali mfuko huo ulikuwa na jumla ya shiringi laki 4 tu. hakika CHARITY BEGINS AT HOME.......

EXPLICITLY TALENTED WE ARE
look at us... what more could we need at mzumbe..??/
thats.. kama vipaji vya michezo tunavyooo... vingi saana..!!! what more..??????!!!1

what a view.......
yeeeess... thats it then.... look at some snapshots of our school
just some few parts of our school, its really amazing being here at mzumbe.. much love

tukiwa kazini hatutaki masihara wewe...
some of the students at mzumbe working on a project with their teachers... thats it, we use what we get in class to put it into practise..
Subscribe to:
Posts (Atom)