TheHItDotCom
Tuesday, June 4, 2013
CHUO KIKUU DSM SASA CHASHIKA NAFASI YA 6 KWA UBORA HAPA AFRICA......
Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) sasa kinakamata nafasi ya sita katika
Vyuo Vikuu 100 bora vya Afrika. Orodha kamili iko hapa Chini:2012 World
University Ranking | Top 100 Universities in Africa
Source:http://www.4icu.org/topAfrica/
Top 100 Universities and Colleges in Africa by the 4icu.org University Web Ranking
1 University of Cape Town
South Africa
2 University of South Africa
South Africa
3 University of Pretoria
South Africa
4 Universiteit Stellenbosch
South Africa
5 University of the Witwatersrand
South Africa
6 University of Dar es Salaam
Tanzania
7 Cairo University
Egypt
8 University of KwaZulu-Natal
South Africa
9 The American University in Cairo
Egypt
10 Makerere University
11 Rhodes University
South Africa
12 University of the Western Cape
South Africa
13 Mansoura University
Egypt
14 University of Johannesburg
South Africa
15 Université Cheikh Anta Diop
Senegal
16 Assiut University
Egypt
17 University of Nairobi
Kenya
18 Zagazig University
Egypt
19 University of Botswana
Botswana
20 Université Mohammed V - Agdal
Morocco
21 University of Ghana
Ghana
22 Universiteit van die Vrystaat
South Africa
23 University of Ibadan
Nigeria
24 Addis Ababa University
Ethiopia
25 North-West University
South Africa
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU (HESLB) YASISITIZA:ZINGATIENI MUDA WA KUOMBA MIKOPO
Mkurugenzi wa Mawasiliamo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Cosmas Mwaisobwa
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)
imetoa msisitizo kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha sita mwaka huu na
kujiunga va vyuo vya elimu ya juu kuanza mara moja na kuzingatia ratiba
kuomba mikopo hiyo.
Mkurugenzi wa Mawasiliamo wa Bodi hiyo, Cosmas Mwaisobwa aliwaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kuwa, wanafunzi hao wanatakiwa kuanza kujaza fomu za maombi na kusisitiza kuwa siku ya mwisho ya kupokea maombi hayo ni Juni 30 mwaka huu.
“Bodi inasisitiza kuanza mchakato wa kuomba mikopo kwa waliomaliza kidato cha sita na kuzingatia muda uliotolewa kujaza fomu za maombi na kuziwasilisha kwenye ofisi za bodi,” alisema.
Akizungumzia kuhusu wanafunzi wanaoendelea na masomo, Mwaisobwa alisema tayari waombaji 62,758 wamekamilisha taratibu za maombi ya mikopo na kujaza fomu stahiki tangu utaratibu huo ulipozinduliwa rasmi Mei Mosi mwaka huu.
“Hadi sasa mchakato kwa waombaji wa mikopo kwa wa mara ya kwanza na wanafunzi wanaoendelea na masomo unaendelea vizuri ambapo wengi wameweza kujaza fomu za maombi ya mikopo kwa njia ya mtandao,” alisema.
Aidha, Bodi ya mikopo imewataka waombaji kuzingatia maelezo yaliyotolewa wakati wa ujazaji wa fomu hizo na kuhakikisha wanakamilisha mchakato huo haraka ili kutoa nafasi kwa bodi kuchambua maombi hayo na kupanga madaraja ya mikopo kwa waombaji.
Katika mwaka wa masomo wa 2012/13, Bodi hiyo iliwapatia mikopo waombaji 94,703, ambao wako katika vyuo na taasisi mbalimbali za elimu ya juu hapa nchini.

Subscribe to:
Posts (Atom)