Kaka mkuu wa Mzumbe, Mfaume Mussa [kati] akinadi moja wa biashara zinazouzwa na mfuko huo tulioupa jina la 'Charity Begins at home] Shigongo ambaye alionyesha kuguswa na hatua yetu kuanzisha mfuko huo wenye lengo la kulipiana ada kwa wale wanafunzi wenye hali ngumu kiuchumi,alinunua leso hiyo kwa shilingi milioni moja sambamba na kutupa shilingi milioni tano taslimu,
Mbali na hayo shigongo pia akiwa ndani ya ukumbi huo aliwasiliana na mbunge wa jimbo hilo la Mvomero ilipo shule hiyo, Amos Makalla ambaye naye baada ya kusikia taarifa hizo kupitia kwa shigongo aligushwa na kuamua kuchangia mfuko huo shilingi milion moja taslimu.
.Shigongo hakuishia hapo aliendesha harambee kwa wazazi waliokuwemo ndani ya ukumbi huo ambao waliitikia wito huo kuwa kuchangia kiasi flani cha fedha na kwamba hadi shughuli hiyo inakamilika jumla ya shilingi milioni 7,218,900 zilikusanywa,awali mfuko huo ulikuwa na jumla ya shiringi laki 4 tu. hakika CHARITY BEGINS AT HOME.......
No comments:
Post a Comment