TheHItDotCom

TheHItDotCom
we bring you news to your hand

Wednesday, December 17, 2014

Professor Jay anayofuraha ya kukualika kuisikiliza hii single yake mpya aliyomshirikisha Jose Chameleone

rapper mkongwe Joseph Haule aka Professor Jay baada ya kufanya vizuri kwenye single yake Kipi sijasikia aliyomshirikisha Diamond Platnumz time hii amekuletea hii single mpya Kwaa jili yako aliyomshirikisha msanii wa Uganda Jose Chameleone ambayo unaweza kuidownload na kusikiliza kwa kubonyeza hapa >>> HAPA.

No comments:

Post a Comment