TheHItDotCom

TheHItDotCom
we bring you news to your hand

Friday, March 11, 2016

Video 10 kali za muziki Afrika wiki hii kwenye Top10 ya Trace TV.. ziko 2 tu kutoka Tanzania

Hakuna asiependa kujua kwenye bara hili kubwa za Afrika ni nani anaetamba zaidi kupitia kituo cha TV cha TRACE Urban ambacho kimekua kikitajwa kwa ubora wa muziki unaopigwa na Watazamaji wake ambao wengi wanatazama kwa mfumo wa kulipia, kuridhika na burudani yenyewe.
10. The Money – Davido ft. Olamide



9. Navy Kenzo – Kamatia (Tanzania)


8. Stonebwoy – Sheekena ft. R2bees


7. Tiwa Savage ft. Olamide – Standing Ovation

6. OSINACHI (Remix) – Humblesmith ft. Davido


5. YCEE – OMO ALHAJI


4. AY feat. Diamond Platnumz – Zigo Remix (Tanzania)


3. Reekado Banks – Oluwa Ni

2. Wizkid – Final

  1. Korede Bello ft. Tiwa Savage – Romantic


No comments:

Post a Comment