TheHItDotCom
Tuesday, April 23, 2013
MBUZI CUP FINAL.. WANA F.C WIN 3- NIL
hayawi hayawi yamekuwa.. walisema mbona haolewi ona sasa kaolewa... ni ile fainali kati ya form 6 na form 2... ( si dharau hii jameni ) iliyokipiga hapo April 21, katika uwanja wa Mzumbe Stadium.
hivo juu ndo vikosi vilivyoshiriki pambano hilo kali la kukata na shoka. LAKIIIINI kwa shangwe na nderemo natangaza habari hi... WANA ( a level ) waliweza kujiondokea na ushindi bila kikwazo chochote kile.. kwa kuitandika kipigo cha mbwa mwizi 4m 2.. kuifunga bao 3 kwa bila... inasikitisha sana.. lakini sasa mpira twaweza na kujizuia kushinda ni kama adhabu vile...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
da natamani irudiwe tena kwani siku zote mkubwa ni mkumbwaaaaaaa tu . next time tukiondoka madogo wasiwaze watashinda hata kuku cup
ReplyDelete