TheHItDotCom

TheHItDotCom
we bring you news to your hand

Tuesday, April 23, 2013

MZUMBE TOP SCORES NECTA ACSEE 2012.... HII NI KAWAIDA YETUUU

 

            yes, dats it... huwezi kuipinga hii..... magatete tunao....??!! na kila kitu kipo mzumbe.... kwenye picha ni wanafunzi 20 bora wa mtihani wa taifa kidato cha 6-2012, WATATU kati ya hao ni wazawa wa Mzumbe... una cha kusema hapo?? hebu kubali sisi ni nooouumaaa...!!! 

“Mmefanya vizuri. Mnastahili ! Hongereni Sana. Tunataka ufaulu wenu uwe mzuri zaidi kwa vile sasa ninyi mnakweda kujenga weledi. Mnakuwa wataalamu wa fani Fulani. Tumieni muda wenu kujifunza zaidi kutafuta maarifa zaidi na kuvumbua mambo makubwa zaidi yatakayowasaidia ninyi wenywe na jamii kwa ujumla kujiletea maendeleo,” alisema Waziri Mkuu Pinda.
 
 “Napenda niwape pongezi za pekee wanafunzi hawa kwa jihudi kubwa walizozionesha. Kufaulu kwao kunadhihirisha kwamba shule hizi za kata tukiweka bidii kwa kuziwezesha zaidi zitafanya vizuri zaidi kama ilivyo katika shule nyingine,” alisisitiza .
Waziri Mkuu pia aliwataka walimu wote nchini kushirikiana na wazazi na serikali kwa pamoja kufundisha watoto kwa bidii ili waweze kufanya vizuri katika masomo yao kama wanafunzi hao waliotunukiwa vyeti hivyo.
         dats whats up... mzumbe- DETERMINATION IS OUR MOTTO... NYAYO TUNAKAZA....


No comments:

Post a Comment