MWANADADA ambaye ni mwanamitindo, mwanamuziki na mtangazaji, Jokate Mwegelo, jana amesaini makubaliano ya kushirikiana kibiashara na Kampuni ya Rainbow Shell Craft ya China.Kampuni hizo mbili zitashirikiana katika kuzalisha baadhi ya bidhaa kama nywele (wigi) sendozi .nakadhalika
No comments:
Post a Comment