TheHItDotCom
Saturday, December 20, 2014
TAZAMA HII... bracket ft diamond platinum,tiwa savage-alive
Ni nyimbo ya vijana kutoka NIGERIA Bracket wakiwa wamemshirikisha mkali
wa bongo flavour TANZANIA Diamond platinum akiwemo na msanii mwingine
kutoka NIGERIA Tiwa savage,nyimbo imepewa jina alive,diamond kaonyesha
kuwa ye ni moto wa kuotea mbali kwani kwa alichokifanya humu ni kazi
nzuri sana tazama kipande hiki wala hutojuta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment